Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb), ameteua Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mujibu wa Sheria ya TTCL ya mwaka 2017, Kifungu cha 7(2)(3) kikisomwa pamoja na Kipengele cha 1(1) cha Jedwali la Sheria hiyo...