Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers.
Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...