Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande.
Kwa akili ya...
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini?
Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match
Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
Morning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma.
Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!.
Maneno hayo ni :-
1.Uzuri
2.Urembo
Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi ya viongozi katika chama, jeshi au serikali.
Zamani nilikuwa najua kwamba haya mambo yalikuwa...
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga...
Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na...
Habari za wakati huu;
Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu.
Hawa...
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.
Lakini akina Evaristi Chahali na...
Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo
Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo...
Ameandika Jesse Kwayu wa Media Brains
JUMATATU Februari 26, 2024 yaani mwanzo wa wiki hii taifa lilishuhudia jambo kubwa la kihistoria la kufanyika kwa jaribio ya safari za treni ya umeme kwenye reli ya standard gauge (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ni tukio la kihistoria kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.