Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani?
Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi.
Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.
Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
• Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.