HONEST HATIBU Member Joined Aug 19, 2020 Posts 64 Reaction score 158 May 8, 2024 #1 Hivi Unatumia njia gani kuingiza maokoto kupitia hili jukwaa la Jamiiforums Tupe madini
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 2,116 Reaction score 4,885 May 8, 2024 #2 Mimi huwa natangazaga biashara yangu ya matairi na mabetri ya magari nashukuru Mungu kuna baadhi ya memba wananiungishaga
Mimi huwa natangazaga biashara yangu ya matairi na mabetri ya magari nashukuru Mungu kuna baadhi ya memba wananiungishaga
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,902 May 8, 2024 #3 Mm nawaombaga hela wakuu kama nawadai vile! KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,902 May 8, 2024 #4 Mm nawaombaga hela wakuu kama nawadai vile! KaziKweliKweli/JobTrueTrue
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 May 8, 2024 #5 Maarifa =pesa.