Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo...