Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme.
Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
March 13, 2023 Staa wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Christina Shusho alifika Kanisani kwa Nabii Mkuu Geordavie jijini Arusha kwa ajili ya Ibada, lakini akiwa katikati ya mazungumzo Shusho alianza kum-mwagia sifa Nabii huyo na baadae akamuomba kiasi cha pesa ili zimsaidie kwenye shughuli...
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k.
Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si...
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.
Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.
Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!
sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
"Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara.
Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa
Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo?
Je, kuifungia shule husika ndiyo suluhisho la udanganyifu wa mitihani ya elimu nchini?, Je, Bila...
Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa! Wakati huo tulikuwa chini nya Raisi Magufuli, lakini niliona kuna haja ya kumweleza ukweli kutokana...
CountCapone
Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani
1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika
1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani
1919-1960 British East Africa Protectorate...
Wanabodi,
Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali.
Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri...
Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa.
Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo
1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba tutambue kuwa sote tutafikiwa na kuhesabiwa bila kuachwa Wala kurukwa kaya yoyote Ile
Ndugu zangu pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.