tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

    Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote. Usinichezee mimi nina faili langu Milembe. Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Ndugai
  2. JamiiForums Tanzania Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

    Wazee, embu let's reminisce good old days Kishtobe, gangwe, kulakabonyau, arosto, unenge, ubweche....
  3. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe chama kubwa linavyojua kujipanga hii ilikuwa 2002

  4. JamiiForums Tanzania katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  5. JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu, tujikumbushe namna tulivyoishi enzi hizo

    1. Enzi hizo watu tulivaa viraka. Mafundi cherehani walipata kipato kwa kushona viraka. Suruali la baba lilikatwa kaptura za watoto na chupi kadhaa za mama. 2. Enzi hizo watu tulipiga mswaki kwa mkaa. Watu tulivaa kata mbuga. Miguu ilijaa funza wakubwa utadhani mbaazi. Tulikwenda chooni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…