Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi
Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara inayokua haraka.
Maelezo ya Biashara:
Aina ya Biashara: Duka la vipuri vya pikipiki na matairi...
Habari zenu wanajukwaa,
Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi
Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana...
Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu yeyote aliyepata mke kwenye sehemu hizo atoe ushuhuda pia anipe muongozo
Kwa maana mpaka Leo natafuta mke wa kuishi nayo sehemu hizi
Kwa sababu
Wahudumu wasafi wanyenyekevu warembo pia wazuri
Inafikia hatua hadi natafutiwa mke nawajibu Bado...
Habri Wakuu,
Nimewahi kujiuliza swali kuhusu elimu za kiraia ambazo jeshi la polisi huwa linatoa huwa ni finyu sana.
Hakuna vipindi vya TV ama majarida yanayotoa elimu kwa Raia kuhusu haki zao ama uhuru wao.
Wajuzi wa mambo nawafuatiliaji wa bajeti za Serikali embu tujuzane hapa.
Bajeti ya...
Wakuu mko njema?
Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏
Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo
Vidogo au kampuni za kufanya printing.
Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda...
Wakuu!
Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series.
Sasa ukiwa unataka kununua...
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k
Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo.
Nikianza namimi binafsi maneno...
Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu
Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo
Michezo hiyo ni kama vile...
Wasalaaaaaam........
Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa.
Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini.
Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.
Naanza:
Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache...
Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi.
Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo.
Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya.
Chanel hizi ziwe za maono na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.