tujuzane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IBRA wa PILI

    Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

    Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0 Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya...
  2. Pang Fung Mi

    Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

    Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa. Basi ni vema walau tuambiane...
  3. mtwa mkulu

    Dominika ya 27 August 2023 Tujuzane mlio sali KKKKT kulikuwa kwema huko?

    Naombeni tujuzane mlio sali KKKT leo kanisani kulikuwa kwema? Je wote mmekubali kuongozwa na mwizi wa kura Askofu malasusa? Nategemea mrejesho wenu Ahsante
  4. stineriga

    Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  5. R

    Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

    Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo? Tujuzane!
  6. Dr Matola PhD

    Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  7. M

    Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

    Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
  8. S

    Tujuzane mechi zilzobaki kwa Yanga na Simba

    Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
  9. D

    Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  10. Optimists

    Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
  11. U

    Tujuzane taasisi za binafsi zinazojali wafanyakazi wake na maslai mazuri

    Uzi kama unavojieleza, tujuzane sehemu nzuri za kutafuta ugali wakuu. Yani ukipata hapo angalu maisha yanaenda. Mimi naanza na hizi japo sijui naskia sikia watu wakisema. 1.TCC - Sigara 2.Mbeya Cement 3.Barick 4.TBL 5.Coca Cola
  12. M

    Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

    wadau za mda huu Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi
  13. sky soldier

    Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  14. Midnight

    Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  15. SaulGoodman

    Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

    Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi. Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Hii fimbo ya kijeshi aliyoshika Rais Kenyatta huwa inamaanisha nini? Tujuzane

    Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
Back
Top Bottom