Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana.
Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!?
Leo 14:40hrs 20/08/2022
Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).
Hizo...
Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju, huo ndio ukweli, halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Kuna makundi ya Watu tunasakamwa sana huku kitaa mpaka tunakosa raha hapa Duniani yaani hatuna raha kabisa cha Ajabu kinachotugharimu ni Jinsi ambavyo tumeumbwa au Mungu mwenyewe ndio ameamua iwe hivyo yaani hatuna jinsi ya kusolve Masimango haya labda Mungu mwenyewe apende.
Utasikia mara...
Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
Baba anajitolea kulinda Taifa, anafukuzwa kazi nakurejea Uraini. Anatafuta kazi yakumwezesha kulisha familia, Kwa kuwa hakufanikiwa kusoma sana na kwa kuzingatia ugumu wa Maisha uliopo na hili asiibe anaamua kuwa mlinzi anayelipwa ujira mdogo lengo alishe familia na kuepuka kuwa mwalifu...
Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community...
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia
Sasa ameonyesha ukuu wa...
Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti.
Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa...
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.