tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  2. Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  3. M

    Mwanasheria Phillipo Mwakilima amtaka Spika Tulia Ackson aache kuchanganya sheria na siasa

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo. Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
  4. Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  5. Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari. Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
  6. D

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
  7. Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  8. K

    Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
  9. Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  10. Tulia Ackson: Wanaotaka Kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Wapime Kina Cha Maji

    Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi. Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi...
  11. Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  12. Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  13. Tulia Ackson jimbo lako linapoteza timu mbili Ligi Kuu, unazisaidiaje?

    Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako. Hizi timu...
  14. S

    Spika Dkt. Tulia Ackson Aache kuingilia Majukumu ya Mawaziri

    Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri kutoka nyanda za juu kusini. Yule mbunge alitaka kulazimisha wale wanaoitwa walimu waliojitolea...
  15. Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  16. Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  17. Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  18. K

    Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  19. Kunguni wa CHADEMA, NCCR, ACT, na CUF wanamshambulia Tulia Ackson - CCM tusikubali kamwe

    WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali". Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa...
  20. Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…