Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa...
MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania lazima tujitambue na hatutaangalia sura ya mtu bali umeme upatikane Bwawa la Mwalimu Nyerere.
"Na...
Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote kwa sasa ndiyo wakuu wa mihimili hiyo baada ya watangulizi wao mmoja kufariki na mmoja kujiuzulu...
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.
Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi.
Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo.
Bali ikumbukwe...
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM
Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.
Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa...
Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu.
Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20.
Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani.
Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au ku-file upya vyote vifanyike.
Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.
Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Halafu hawa kina dada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza.
Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
Leo nikawa nasikiliza Bunge, kwanza wakavuruga ratiba na kuweka session ya kumpongeza Rais Samia kupata tuzo kila mmoja akawa anampamba anavyoweza, kama ungekuwa humjui wanaemsifu haki ungejua malaika ameshuka. Mjadala wa kutumia kodi zetu kufanya hivyo niache kila mtu auamue moyoni anavyopenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.