tumboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la Asidi Tumboni

    Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
  2. Shida ya gesi tumboni

    Wakuu habari za muda. Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea. Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina. Nimepima ultrasound bali sina shida. Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa. Nipeni maelezo na dawa tiba.
  3. Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

    Je ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni hata miezi 9 hakufikisha?
  4. Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  5. T

    Gesi tumboni

    Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
  6. Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  7. Je, pombe aina hizi huua minyoo tumboni?

  8. Watu wengi wana kiasi kidogo cha asidi tumboni lakini hawafahamu

    Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
  9. Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9 Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
  10. U

    Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa? Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1? Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo Lugha zisizo na staha...
  11. Acid reflux (GERD)/Kuzidi kwa acid tumboni

    TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.? Gastroesophageal reflux disease (GERD); ⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na...
  12. Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

    Maana tumbo linauma sana nateseka
  13. Haki za Mtoto: Ni aibu kuwa bado kuna Watanzania wanaoa na kuoza watoto wakiwa bado tumboni

    Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
  14. G

    Msaada maumivu tumboni na pande zote kulia na kushoto kupelekea ganzi mikononi na miguuni

    Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
  15. Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  16. B

    Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 waondolewa

    Ama kweli Duniani kuna mambo. Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 watolewa. Madaktari nchini Kenya wamemfanyia upasuaji Bi. Felister Namfua (36) na kutoa wembe wa upasuaji uliosahaulika ndani ya tumbo kwa muda wa miaka 11. Bi Felister amekua akiishi na maumivu makali ya tumbo kwa miaka 11...
  17. Peter Msechu adai kupungua kilo 7 baada kuwekewa puto Tumboni

    Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito. Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
  18. Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

    Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila. Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo "Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
  19. Mandonga anaongelea kumpiga mpinzani wake ngumi za tumboni?

    Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo. Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
  20. Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

    Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri. Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…