Wasalam JF,
Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri.
Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri.
Leo hii nimemchunguza...
Wahenga walisema hujafa hujaumbika. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Supa Ngussi aliyepata changamoto katika sehemu ya kutolea haja kubwa na ndogo, baada ya kupata ajali ambayo ilikwenda kubadili kabisa mwelekeo wa maisha yake.
Ngussi (21) ni baba wa mtoto mmoja, alipata changamoto hiyo katika...
Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.
Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.
Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika.
Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali.
Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa.
Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.