JE, NANI ATAOKOA KAWOSA LTD KARAGWE KABLA HAIJACHELEWA?
Mimi ni mmoja wa wanachama wa KAWOSA LTD iliyopo Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera. Kwa masikitiko makubwa, sisi wanachama tunaendelea kushuhudia hali ya chama chetu ikidorora kutokana na upotevu mkubwa wa fedha za wanachama unaokadiriwa...