tume ya uchaguzi kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC: Uchaguzi wa 2027 Hauwezi Kufanyika Katika Mazingira ya Chuki na Ghasia

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, amesema tume haiwezi kuendesha uchaguzi katika mazingira yaliyojaa chuki, uchochezi, mgawanyiko na vurugu, huku akitoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wananchi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waangalizi wa Uchaguzi wataka Ripoti ya IEBC iwekwe wazi

    Waangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya (Elections Observation Group – ELOG) wameonesha wasiwasi wake kuhusu hatua ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), kuwasilisha ripoti ya mchakato wa Uteuzi wa viongozi wake kwa Rais William Ruto pekee bila kuifanya kuwa ya Umma. Kupitia taarifa yao ya Mei...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…