Tume huru ndio kila kitu.
Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu.
Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi.
Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
Mh Rais tuundie TUME HURU itakayochunguza uhalali wa nyaraka za baadhi ya wabunge.
Kodi zetu zinawalipa wa bunge feki,kama vipi basi turudishe kodi ya kuku na mbwa ili kupanua wigo wa kodi zakuwalipa wa bunge feki.
La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe.
Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
Sasa sio shwari tena,Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi ,CCM wakitaka au wasitake hii sio nchi yao na kama haitoshi watambue hawana hati miliki, Tume huru ya uchaguzi ni lazima kuliko kifo maana kifo kinaweza kuchelewa ,ila Tume huru inahitajika sasa na hakuna sababu ya kuchelewa na...
Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa kisasi.
Kwa uchache wanatajwa Sabaya, Makonda na wengine.
Ili tuoneshe ustaarabu uliotukuka kwa...
Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.