Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni...
Jamani Mungu kweli ni waajabu?
Nambona shetani anatawala sana
Mungu ni muweza wa yote?
Mbona kamuacha shetani anafanya kazi zake
.
Tuseme ujweli kunabinadamu hua anaomba utajiri kwa Mungu anapewa wacha tu utajiri na mambo mengine
Ila kwa shetani papo hapo utayaona mabadiliko
wacha hivyo...
Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona...
Ukichunguza vitambulisho vya NIDA vingi vina makosa kwenye vipengele mbalimbali, unaweza kuwa ni ile card inataarifa vizuri kabisa inayoonyesha taarifa zako kama kwenye birth certificate vizuri kabisa ila ile namba ikiingizwa kwenye system inayosoma card yako ikaleta details tofauti kabisa kama...
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.
Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.
Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.
Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.
Hata...
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF
UPDATE
Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.
17” Kagera Sugar 0...
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi.
Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna...
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure.
Kwa level za wimbo wa...
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH...
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.
Huyu Mwendazake alikuwa mnafiki sana kila jumapili utasikia ooh tumuweke Mungu mbele....lakini kumbe huyu alikuwa anatupiga vya kutosha.
Ukijumlisha ufisadi wote uliofanyika kipindi cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete unapata ufisadi wa Magufuli.
Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.