Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki?
Ukiangalia kuna vinchi vidogo...