Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa eneo. Baada ya kuonyesha hati ulipewa miaka mitano uwonyeshe uwekezaji wa kudumu uluoufanya kabla ya...
Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi"
Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi?
Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM...
Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
Kama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda.
Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo wa kulipa 'tozo' wao wanaanza na tozo kwanza wakiahidi uwezo wa kulipa utakuja huko mbeleni.
Na...
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama...
Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza.
Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana.
Sababu ni zifuatazo:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.