tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Usidanganywe, pesa huletwa na pesa, tumia pesa upate pesa. Je unahitaji pesa kesho 24.02.2024?

    Simple; Bet hata kwa mara ya kwanza. Tafuta mechi ya Simba na Azam kwenye mikeka ya Betting. Mpe Simba Ushindi. Mpaka Sasa ana point 1.60. Hapo ukiweka laki una laki na sitini, ukiweka milioni, una milioni na laki sita. Ukichelewa hizo point zinashuka. Simba kuifunga Azam is a must. Bet...
  2. Setfree

    Zijue Mbinu Hizi za Kuwa Tajiri("Milionea")

    Watu wengi wana ndoto za kuwa matajiri. Wanafanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili wawe matajiri. Hata hivyo ni wachache wanaofanikiwa kuupata utajiri. Leo nakutajia baadhi ya mbinu muhimu za kupata utajiri au kuwa milionea/bilionea – sizungumzii utajiri unaopatikana kwa bahati au kwa kurithi...
  3. dgombusi

    Tumia Kompyuta ndani ya kivinjari chako! (Free and Open Source)

    Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first personal cloud to keep all your files, A platform for building and publishing websites, web apps, and...
  4. T

    Aliyetumia Min Power Tiler atupe ushuhuda

    Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
  5. matunduizi

    Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  6. Q

    Vijana wenzagu kama upo single, tumia njia hii kuondoa upweke

    Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
  7. kali linux

    Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

    Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae...
  8. mamma herbs

    FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  9. Mr_mkisi

    Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

    Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni. Kuna mambo mengine huwa...
  10. Webabu

    Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  11. Aliko Musa

    Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa masoko ya ardhi na wanaweza kukusaidia kupata viwanja vilivyopo kwenye bei nafuu. Madalali wana uelewa...
  12. G

    Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  13. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  14. Mycojkhan

    Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla. Hakikisha unatake care Roho yako, nafsi pamojah na mwili wako Jitahidi kujilinda Hivyo jlivyo wewe ni...
  15. B

    Tumia msalaba kuwashinda wachawi

    Kama unasumbuliwa na hawa wapumbavu ukiwa umelala unaota ndoto mbaya au unahisi wanakujia usiku au unaweweseka au watoto wanahangaika kuweweseka usiku weka msalaba wa Yesu Kristo juu ya neti au mbele ya kitanda chako kwa juu ya kichwa au ukutani ndani ya chumba chako ukutazame wewe ,hao...
  16. ndege JOHN

    Tumia hela bila kuogopa

    Jenga mazingira weka njia na fensi na nafasi weka mazingira ya Choo mbele weka biashara mandhari mbona ulaini tu kijana acha ujanja huvijui vyote mtoto wa 2000 uongo Zambi Tanzania pazuri.
  17. Riskytaker

    kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  18. GENTAMYCINE

    Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  19. greater than

    Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo. Tukaenda kula bata Billcanas. Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani. Mwamba...
Back
Top Bottom