Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi...
Maji (mafuriko)
Hewa(kimbunga)
Chakula(sumu)
Njaa(ukame)
Nk...
Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri.
Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi...
Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE...
Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina changamoto nyingi...
Mkimaliza kukimbia changamoto za ndoa kwa wanawake...mtakuja kupiga kampeni juu...
Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032.
Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year.
https://www.jamiiforums.com/threads/franklin-d-roosevelt-fdr-na-uongozi-wa-miaka-12-kujirudia-tanzania.1950132/
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni...
Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale,
Ila Ya Mungu mengi jamani"
Also👇👇
Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo''
Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini.
Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
Bao la Mantiki (Logic Framework) ni jedwali ambalo huonyesha uhusiano kati ya Lengo Kubwa la Mradi (Project Overall Objective), Malengo Mahsusi ya Mradi (Project Specific Objectives), Matokeo ya Mradi (Project Outputs) na Shughuli za Mradi (Project Activities) ili kuleta mtiririko wenye mantiki...
Amani kwako mdau.
Mara nyingi siri ya uponyaji ipo kwa Mwenyaazi Mungu mja wa rehema na huwapa wachache nuru ya kujua tiba kutokama na mimea.
Nimeona nisifaidike mwenyewe, huu ni mmea ambao unajiotea wenyewe tu hapo mtaani kwako endapo tu kuna sehemu nyasi zinajiotea pasi kupandwa na mtu...
Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee.
Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:-
Wauza mishikaki
Wauza matunda
Mama ntilie
Utaanzaje anzaje:-
Tembelea hayo makundi hapo juu
Tathmini mauzo yao kwa siku
Kwa...
Habari zenu wadau! Bila Shaka mko vizuri, poleni na majukumu
ebana, nashangaa sana na sifurahi nimwonapo kijana msomi, tena aliyezaliwa kijijini akihangaika mijini na maisha ya kuungaunga na elimu yake kichwani.. unaanzajaje kuondoka kijijini sehemu ambako kuna fursa chungu nzima, et unaenda...
Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele, kula, matibabu, ulinzi na utawala. Tulifuta kabisa tawala na viongozi wa jadi na kukumbatia utamaduni wa...
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana
Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad
Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua .
Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
Wakuu kwema...
Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...
Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi.
Naomba kujua kama kuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.