SHETANI
Baada ya msoto wa muda mrefu,
Chuwa alifanikiwa kupata kazi.
Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake,
maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...