Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele, kula, matibabu, ulinzi na utawala. Tulifuta kabisa tawala na viongozi wa jadi na kukumbatia utamaduni wa...