SAFARI YA KUTAFUTA PESA.
TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga.
Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono.
Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...