Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini...
Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu.
Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62
Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
Hivi kwanini viongozi wetu wa kitaifa wanakionea aibu Kiswahili? Tumeshuhudia viongozi wetu wakienda uko nje na wakati mwingine tukipata wageni kutoka nje kuja Tanzania, viongozi wetu wanakisaliti Kiswahili na kutukuza lugha ya mkoloni! Hii sio sawa na inatuuma sana sisi wazalendo wa Kiswahili...
Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi?
OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira??
Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA.
VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
MNATAKA WENZENU WALE WAPI?
Anaandika, Robert Heriel
Unajua kuna watu ukiwatafakari utabaki unawashangaa Sana. Sijui wanafikiri kaa kutumia kiungo gani. Maana Kama wangetumia ubongo wasingefikiri Kwa namna hiyo.
Unapojadili Jambo lolote lazima ushirikishe akili yako vyema ili usijidhalilishe...
Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic.
Hebu CHADEMA kwa unyenyekevu niwaombe mtumie logic bila kusahau hesabu za moja Kichwani. Moja ya jambo ninaloliona halina...
Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kwenye post hii.Ndugu zangu wanajamii forum great thinker naomba kujilipua msemo wao. Katika taifa letu kuna viongozi wanapokuwa madarakani wanajisahau katika majukumu yao wanafikili watabaki madarakani daima na mambo hayatabadilika.
Viongozi nawaasa na...
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima
Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.