Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya...