Dereva amwambia RC Chalamila kuwa Tunaichukia Serikali, Rushwa imejaa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -

EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo

Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
 
RC Chalamila kaza na kubana hapo hapo, jiji lazima lifunguke.

watu wanapenda maendeleo lakini wanachukia mabadiliko 🐒
 
Tena kasema mara mbili..!

Tunaichukia serikali Sana mweshimiwa
Kweli Watu wamechoshwa na maisha,huku ndo tunakotaka kwenda kuanza kusema live live kama wakenya😂
Ikabidi nirudie kusikiliza jina lake nilipoona la Mbeya basi tena hao wana balaa kama huko Mkoa wa Songwe,Tunduma wanaongea tu bila hofu..
 
GOgB3TOXEAA2tV5.jpg
 
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -

EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo

Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
Ni ukichaa kuwekeza mabilioni katika kujenga Bandari Kavu ya Kwala, kisha kuendelea kutoa leseni za ICD
 
Elias kwanini umetaja jina lakoo, nakuonea huruma sana maana faili lako limeshafunguliwa, ungesema mimi mtanzania.... Big USHUNGI 1984 hataki watu muwaze tofauti... pole sana kwa kuweka karata yako wazi... jiandae wanakuja kukula mavi.
 
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -

EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo

Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Back
Top Bottom