Dereva amwambia RC Chalamila kuwa Tunaichukia Serikali, Rushwa imejaa

Dereva amwambia RC Chalamila kuwa Tunaichukia Serikali, Rushwa imejaa

PM anafanya nini Ofisini wazee....
Aondoke harakaa
 
Hata kama wamechangia chama hayo mabilioni, wasi vuruge mipango ya Taifa. Mizigo iende Kwala Dryport


Ndio swali langu nimeuliza sasa tuone kama watamgusa , maana humu mwaka jana baada ya hayo mapesa tuliwaambia wazi sio kwamba wametoa kwa sababu wanaipenda CCM bali wana agenda zao za kibiashara.

Huwezi kuamini asilimia kubwa ya malalamik9 yanahusu kampuni yake ila wanaogopa hata kumtaja.
 
Dreva katema facts, badala ya wahusika kufanyia kazi ataanza kusumbuliwa na pengine akapigwa uhaini. Sijui wenzetu wanatumia viungo gani kufanya maamuzi
 
Hahahahaha!
Nyumbu zimeamka kwa shangwe zikifikiria kwamba shoga lao kubwa, lissu, limechukia nchi🤣🤣🤣
Of course wa kutochukia serikali wapo Kila awamu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, yupo Hadi 2030......wahuni lazima waichukie serikali yake.
Hahah....kwel hili ni tutusa...sasa kuna uhusiano gani kati ya hii mada na changamoto ilinayojadiliwa....kama wamaccm ndo nyie hakika hiki chama hakina uhalali wa kuongoza hata kondoo cz humo ndan hamna mweny akili
 
Back
Top Bottom