Huko kwala ni mapori,crane iko moja tu na mbovuHuyu jamaa kaongea kwa nidhamu sana huku akiiponda Serikali na viongozi wake kwa nini ICD zipo mjini wakati iliyojengwa ipo wazi..
Crane sio ishu wanunue waziweke pale waache ujanja ujanja kwa ma truck mabovu kuzurula mjini mara unasikia kontena limedondokea gari ndogo..Huko kwala ni mapori,crane iko moja tu na mbovu
Hata wakati ule bi mkubwa alipoenda hukushtukia kama mchukua video live alikuwa anachkua sehemu moja tu
Kule ni kama wame pa dump
Ova
Ni ukichaa kuwekeza mabilioni katika kujenga Bandari Kavu ya Kwala, kisha kuendelea kutoa leseni za ICD
Hii ni ishara ya bye bye kwa kijani watu wanawapasua liveNi chawa tu wanufaika ndio wanaoipenda hii serikali haramu.
Kuna mwang'ingo wa Iringa,mnyalu huyo!Ikabidi nirudie kusikiliza jina lake nilipoona la Mbeya basi tena hao wana balaa kama huko Mkoa wa Songwe,Tunduma wanaongea tu bila hofu..
Kuwa kiongozi sio kama ndo unaakili kuwazid wasiokuwa viongoziHuyu jamaa kaongea kwa nidhamu sana huku akiiponda Serikali na viongozi wake kwa nini ICD zipo mjini wakati iliyojengwa ipo wazi..
Chalamila ana uwezo wa kuweka mambo sawa hata kama sio 💯, ila akili hanaBinafsi kuna muda nadhani wapo baadhi ya viongozi wanatamani mambo yaende kwenye mistari ila hawana hiyo power, sasa inapotokea MTU kama huyu akaongea basi huwa wanafurahi maana ujumbe umefika, bila shaka wamekuwa wamesadiwa kufikisha ujumbe.
Ninaamini Mh.Chalamila hana uwezo wa kufanya lolote juu ya hilo.
Safiii derevaa
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -
EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo
Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
RC Chalamila kaza na kubana hapo hapo, jiji lazima lifunguke.
watu wanapenda maendeleo lakini wanachukia mabadiliko 🐒
Mbona unacheka kama shoga mzee?Walichosikia nyumbu wa JF; "tundu lissu amechukua nchi, ndiye Raisi anaapishwa kesho!" 🤣🤣🤣
Aisee 🤔 uko timamu kweli?Walichosikia nyumbu wa JF; "tundu lissu amechukua nchi, ndiye Raisi anaapishwa kesho!" 🤣🤣🤣
ndio RC anafanyia kazi lalamiko lako.Pamoja na kwamba nia ni njema sana, wakati mwingine tufikirie kiuhalisia, sio kusema tu kwa sababu halikuhusu; kwa mfano;
1. TUMERUHUSU ICD ZIKAE MJINI KATI TENA BILA PARKING, KOSA LA NANI?
2. HATUJAWEKA SEHEMU ZA KUEGESHA MALORI MJINI, KOSA LA NANI?
Kwa hiyo tunayafukuza malori yaende kupaki wapi?
NAFIKIRI TUNGEWEZA KUTOA ICD ZOTE MJINI KATI, TUNGEMALIZA CHANGAMOTO KIRAHISI KWA KUWA; MALORI YANAFUATA ICD