Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k
Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake.
Kuhusu nitawalisha nini; msiniulize, jaribuni kumuuliza huyu alikuwa anawalisha nini!
Nb: Dunia...