tunakwama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  2. Poker

    Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
  3. M

    Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
  4. mwanzajo

    SoC02 Watanzania tunakwama hapa

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshubudia mabilioni ya fedha yakiwekezwa kwenye sekta ya elimu ambapo tumeona ongezeko kubwa la...
  5. Ladder 49

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  6. BLACK MOVEMENT

    Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  7. B

    Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

    Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei: Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda? Mama...
  8. B

    Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  9. B

    Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Ilikuwa kwenye uzinduzi wa Maalim Seif Foundation ambapo majina mazito mazito pia yalikuwapo. Walikuwapo kina Samia, Hussein Mwinyi, Othman Massoud, Jussa nk katika wanao matter kwenye siasa za Zanzibar. Hotuba za kusisimua zikitolewa na waliokuwa mahasimu kweli kweli. Ikumbukwe tumetokea...
  10. B

    Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri? Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
  11. M

    Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
  12. B

    Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

    Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha: Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁. Si mnakubalika? Si...
  13. Latebloomer

    Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  14. B

    SoC01 Tubadili mfumo wa elimu ili tulete mageuzi nchini

    Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na kifkra. Lakini leo hii tunapoizungumzia Elimu Tanzania imekua ni taasisi moja isiyokua na uwezo tena wa...
  15. M-mbabe

    ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
  16. MAHANJU

    Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  17. Smartkahn

    SoC01 Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo?

    1: UTANGULIZI. Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
  18. kiwatengu

    Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Wakuu mambo vipi? Mimi ni mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera, Kijiji cha Rusinga! Pia Nsunga ni kwetu. Nimekulia mkoa wa Kilimanjaro so Naifahamu Kagera vizuri na Naifahamu Kilimanjaro vizuri sana. Hoja yangu naileta kutokana na Spika Ndugai jana kutuzodoa wana Kagera kuwa hatuna...
Back
Top Bottom