tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  3. BICHWA KOMWE -

    Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

    Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante!
  4. Jaji Mfawidhi

    Wanawake tunataka 50/50 kwenye mission za vita huko DR, Sudan na Chad !

    Imekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni. Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado...
  5. M

    Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  6. M

    Pre GE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  7. muafi

    Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  8. Logikos

    Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

    Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
  9. BLACK MOVEMENT

    kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  10. Rorscharch

    Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  12. Bulelaa

    Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  13. Crocodiletooth

    Sisi wana chadema tunataka kufahamu mabilioni ya Join the chain yapo wapi?

    Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
  14. The Assassin

    Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo: Tunataka kugoma kwa Sababu ya TRA haitaki kutuelewa

    Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement. Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize. Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi...
  15. Hussein Massanza

    Tunataka kushiriki CECAFA CUP ili kujiandaa na msimu wa 2024/25

    Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga. Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao. Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
  16. instagramer

    RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

    WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa uongozi Wa kisiasa ndio kile kile ambacho Watanzania waliowengi ambao ni Masikini waliokata tamaa...
  17. BICHWA KOMWE -

    Tunataka UWT watoe tamko la kukemea majizi na wavivu

    Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi. Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi kukwapua fedha za miradi na za ofisi za umma. Majizi yametamalaki yanakomba na kufakamia. Tunamtaka...
  18. Imalamawazo

    Tunataka kubadili Sheria ya Tozo ya Warfage kwa manufaa ya nani?

    Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA. Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
  19. pombe kali

    Hatutaki tena ardhi tunataka intermarriage Zanzibar

    Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo pamoja na kwamba tuko bwah binafsi kama nimemuelewa hivi, anasema ardhi tanzania bara inaukubwa wa...
  20. Yehoyada Yedidia

    Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
Back
Top Bottom