Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni?
Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?
" Hakuna kama Samia "
Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na...
Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege
Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR
Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la Jamhuri imetushtua sana wanananchi, na hivyo tunasema hivi hatutaki Madalali wa Kichina kwenye...
Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa.
Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi.
Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu
Mimi nilitegemea kusikia labda...
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba...
Nimezipata kuwa kuna watu wetu wanaangalia namna ya kumfanya Manara awe msemaji wa Yanga. This is bullshit. Yaani kama kuna jambo la kipumbavu kupata tokea duniani na matusi kwa wanayanga ni hili la kumtegemea manara.
Simba nliwashauri waachane na msemaji kilaza,mbumbumbu asiye jielewa...
Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani.
Na kila mtu anajaribu kuja na maneno mazuri ya kuonekana anafaa sana ku praise na ku worship.
Kama tulivyofanya kwa Magufuli hatimaye...
Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana.
Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.