Salaam, shalom!!
Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi.
LUGHA YA WANANCHI.
Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...