Miaka ya 90 Kijijini Sengerema tulikuwa na kawaida ya kwenda kuwasalimia na kuwapa hai wazee, tukifunga shule basi kesho yake asubuhi ni safari kwenda kijijini kusalimia, na kuishi kidogo na Babu na Bibi. Maisha ya kijiji yaikuwa mazuri sana kwa kiasi chake, hakuna umeme, na ikifika saa 2 kila...