Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….
Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni...
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.
Unajua katika life unaweza tongoza demu ukatumia hata miaka saba au minne. Yaani unaweza tongoza dem kuanzia la kwanza lakini ukaja ukamla mkifika la saba. Pia unaweza tongoza demu kuanzia kidato cha kwanza...
Heshima kwanza,
Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki)
Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara kuu iendayo Dar es salaam na Mombasa.Shamba hili lipo eneo la ukanda wa tambarare Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.