Ukiondoa kutumia muda mwingi kufafanua no reform no election Lissu ameitisha nini serekali ya ccm iliopo madarakani?
Ipi amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya ccm kupata wakati mgumu?
Ipi tofauti ya Mbowe na uongozi wa lissu ktk amsha amsha kwa ccm?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewakosoa vikali wanasiasa na viongozi wa Afrika kwa tabia yao ya kung'ang'ania madaraka kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya demokrasia barani Afrika katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha...
Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine....
Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CHADEMA....na wananchi tukaelezwa kuwa fedha zile zikawa "freezed".
Je ni zama mpya na hatua mpya ?!!
Trump ,Elon...
SIku chache baada ya matangazo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema kusema kuwa wamechangiwa milioni 64, tayari chama hicho kimetoa taarifa kuwa Tundu Lissu atakwenda Uganda kwenye shughuli za kikazi.
Kwa vile ni shughuli za chama, huko atakula posho ya maana kwa viwango vile vile vya serikali...
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji...
Tundu Lissu bado anawaamini wajomba wa nje kwa kuwapelekea malalamiko yake. Rais Trump ni chaguo la Mungu pale anapotufundisha kuwa ili kupambana na ukoloni mamboleo basi uwe na MISULI yako binafsi.
Rais Trump amemwambia bayana Zelensky kuwa hatashinda vita vyake na Urusi....na amemsisitizia...
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu...
My two cents from a distance.
Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM.
Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli.
Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM
Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.
Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
Tundu Lisu ni mwalimu wa elimu ya uraia na kujitambua japo mwenyewe hajui.
Tundu Lisu anadamu ya kufundisha haki, demokrasia lakini yeye na wanaomzunguka wanamuaminisha kuwa ni mwanaharakati ndio maana mission zake hazifanikiwi kwa asilimia kubwa
Anachokifanya kwa sasa hakiwezi kuleta matunda...
Mbowe alifanya maridhiano, ruzuku inapatikana na chama kikaendelea kujitangaza. Lakini Lissu na watu wake wanamuita msaliti na mnafiki.
Leo humu Jamiiforums kunapita thread ya kumpongeza Lissu kwa mara ya kwanza ruzuku ya chama imepita kwenye akaunti ya chama. Mimi nilitegemea, kwa kuwa Lissu...
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,
2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu...
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni...
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all...
Vivyo hivyo waweza kumsamehe Dr Slaa kama ametubu
Mimi siyo mwanachadema ila ni mdau wa SIASA za Haki
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lissu.
Ahsanteni sana 😀
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu...
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni
1. Best friends
2. Best family friends
3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.
Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.