Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki.
Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
“Naenda Mahakamani kufungua kesi kwanza ya kuvunjiwa mkutano wetu bila sababu, pili Viongozi na Wanachama wetu kupigwa bila sababu, tatu kukamatwa bila sababu, nne kufungwa bila sababu, tano uharibifu wa mali na mengine ambayo Wanasheria watapendekeza”
“Na tumesema tunamshtaki Shosti Nyahoza...
Kwa mara ya kwanza CHADEMA imekubali kwamba Tundu Lissu ni mgonjwa na anatumia dawa.
Wamekubali hili baada ya Lissu kukamatwa na kukaa saa 24 bila kutumia dawa zake.
Inakuwaje mtu huyu ambaye ni mgonjwa anayerudi nchini Ubelgiji mara kwa mara kupata matibabu mnamtanguliza mbele katika jambo...
Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason).
Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu...
Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu amesema Mawakili wa Tanzania hawawafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100
Source: Mwanzo TV Plus.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima.
Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama...
Ndugu wana JF,
Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili
Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi
Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu
Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa...
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.