Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.
Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.
Mara nyingi watu wa...
Friends and Our Enemies,
Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.
Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu.
Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo.
Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
Habari za weekend Wakuu!
Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.
Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
Habari za weekend Wakuu!
Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.
Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi.
Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
Hebu tuangalie halafu tusaidiane
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango.
Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
Ukimsikiliza Tundu Lissu utaona kwamba ni vuguvugu, haoneshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto lkn asichokijua labda zero Muslims watampigia kura na wakristo kuna watakaompigia na kuna...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake
Nimelazimika kuuliza swali...
Mbeya, Tanzania
Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa
https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg
Source : busokelo tv
Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."
"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria.
Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote.
Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.
Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.