tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  2. Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  3. Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  4. Simba Tundu Lissu ana stress, cage haimfai.

    Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha, Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
  5. S

    Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  6. Tundu Lissu ashauri kuhusu kesi iliyofunguliwa Arusha

    https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
  7. Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  8. Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
  9. R

    Lissu, kuondoka Msigwa is not an issue, the issue should be “Is CHADEMA crumbling due to his defection”?

    Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
  10. B

    Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

    https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
  11. Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
  12. CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  13. Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  14. M

    Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  15. Pre GE2025 Nimemdharau Tundu Lissu kwa kukataa hela/Mabilioni ya CCM kisa CHADEMA

    Salaam Lissu nilikuwa nakuheshimu sana. Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA. Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini? CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia. Hadi...
  16. Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  17. Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  18. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  19. Pre GE2025 Tundu Lissu asema CHADEMA hakuna ukomo wa Uongozi, akigusia uenyekiti wa Mbowe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
  20. B

    Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…