tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

    Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu. Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo. Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
  2. Crocodiletooth

    Siasa anazozifanya Tundu Lissu ni za kizamani mno, Watanzania wanashangaa na kumpuuza

    Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
  3. masopakyindi

    Tundu Lissu, too late a hero!

    Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa. Lakini si kishujaa! Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao. Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije? Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake. Mama Samia...
  4. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  5. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  6. Mganguzi

    Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  7. J

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  8. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  9. T

    Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  10. D

    Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
  11. Msanii

    Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  12. R

    Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita. Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
  13. M

    Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  14. D

    Tundu Lisu Kuhusu Muungano

    Watanganyika na zaidi wanachadema, Kwanini hamukubali uchambuzi na misimamo ya Viongozi wenu linapokuja suala la Muungano? Tumsikilize Tundu Lisu Kidogo === Sauti inayofafana na Lissu inayoongea kwenye audio hii imezungumza yafuatayo. Mgogoro wa Muungano ulipo ni kutokana na uhalali wa...
  15. T

    Kwa sasa CHADEMA kuendelea kuwekeza kwa Tundu Lissu ni kupoteza muda

    Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi! Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
Back
Top Bottom