tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

    Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi. Tundu Lissu...
  2. R

    Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  3. Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
  4. Kwa wale tunaoamini katika zama za giza za awamu ya Tano basi Mpina, Makonda na Tundu Lissu ni watu sahihi wa kwenda nao

    Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake. Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
  5. D

    Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
  6. Tundu Lissu ndio turufu pekee tuliyobaki nayo Watanzania. Tusipomwelewa itakuwa ndio point of no return kama nchi

    binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
  7. Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

    Hebu tuangalie halafu tusaidiane Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango. Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
  8. Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki za "SSH 2025" zimetoka wapi?

  9. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  10. Pre GE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
  11. B

    Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
  12. Tundu Lissu uvuguvugu, haukufikishi mbali!

    Ukimsikiliza Tundu Lissu utaona kwamba ni vuguvugu, haoneshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto lkn asichokijua labda zero Muslims watampigia kura na wakristo kuna watakaompigia na kuna...
  13. Pre GE2025 Hata Tundu Lissu naye huwa anadanganya!

    Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko kwa wanaohongeka. Lissu naye ni kama wanasiasa wengine tu. Na yeye hudanganya pia. Kwenye haya...
  14. Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  15. Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

    Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa. Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa...
  16. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  17. Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani. Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
  18. R

    Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  19. Tundu Lissu ni Mwanasiasa pekee ambaye naweza msikiliza akiongea, na alikuwa pia Prof. Kabudi alipokuwa sober

    Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama. Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
  20. Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…