Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150, ikiwa ni mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani kwa ajili ya vikundi...