Tunduma is a town in Songwe Region, Tanzania, on the border between Tanzania and Zambia. It has border posts for both the Tanzam Highway and the TAZARA railway (for which it has a station) linking the two countries. It is located 103 km southwest of Mbeya. It is also the junction for the tarmac road which runs via Sumbawanga through the remote far western districts of Tanzania to Kasulu and Kibondo in the north-west. According to the 2012 census, it has a population of 97,562.
02 February 2023
Tunduma, Tanzania
CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI
Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara.
Baada ya...
Wapendwa habari za Jioni? Bila kupoteza muda, Mji huu wa Tunduma ni mpakani mwa Tanzania na Zambia.
Sasa lengo la Uzi huu ni kuiomba Serikali yetu pendwa ya Mama Dkt.Samia Suluhu Hassani, kuwa kupitia vyombo vya Ulinzi na Usalama watusaidie, Mambo yenyewe yako hivi.
Watu wanatekwa na kupigwa...
Hivi kweli kabisa kimeshindikana cha kufanya ili magari yasi stuck pale boda.
Kinashongaza hili ni jambo la muda mrefu sana, lakini kama kawaida yetu tumefundishwa kuzoea shida na kuwaita wazungu mabeberu.
Ila hakika ni kwaba huyo beberu hawezi kufanya upumbuvu kama unaofanyika pale mpakani...
Wasalaaam ndugu zangu
Moja kwa moja Kwenye kilichonileta hapa,
Ni kuwapa taarifa hii ndugu zangu
ufikapo Songwe(Vwawa,Mlowo,Mpemba,Tunduma,mkwajuni,Saza n.k)
Tunakurahisishia kupata huduma yoyote ufikapo maeneo Haya.
Huduma hizo ni:
1. Tunafanya clearing and forwarding Border ya Tunduma (...
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania...
Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake.
Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia...
Habarini za asubuhi Wanajamvi,
Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi.
Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma.
Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
Soko la manzese lililopo tunduma mpakani mwa TANZANIA na Zambia limeteketea kwa moto.
---
Tunduma. Soko la Manzese lililoko katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe linawaka moto muda huu.
Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeanza leo Jumanne Novemba 16, 2021 asubuhi...
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.
Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata mwenyeji wa Tunduma, kuna taarifa nafuatilia ningependa kupata msaada wa majibu yake.
Natanguliza shukrani.
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.