Salama wakuu wote wa hili jukwaa
Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki za binadamu Martin Luther King Jr Huwa naona maumbile yao au mwonekano wao unaonyesha kuwa walikuwa...
MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996)
Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25...
MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996)
Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃...
September 7 ya 1996
MGM Grand, USA
Pambano la Ndondi
Tyson v Bruce Seldon
Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109
Tyson alishinda.
Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia
Mfano:
New Edition
Run DMC
Gary Payton
Suge Knight
Tupac
Kwa uchache!
Baada ya ushindi wa Tyson, Tupac alikuwa...
Niliwahi kuongea kitu kinachotaka kufanana na hiki miaka ya nyuma na leo nimekutana na mwandishi ambae amelifanyia jambo hili utafiti wa kina.
Ni mwandishi / mtafiti ambae ni mtaalamu wa kujifundisha mwenyewe (A self taught expert) in the fields of 👇👇👇
1. The Sacred Art of Spiritual...
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo...
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records.
Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya mwisho ya the don killuminati ili aachane na Deathrow records.
Sasa conspiracy theorists...
Salaam ndugu zangu,
Leo katika pita zangu mitandaoni nimeona baadhi ya kurasa zinazoweka masula ya burudani na habari za Wasanii zikieleza kuwa kuna sauti ya Keefe D imevunja ikikiri kuhusika na kifo cha 2 Pac.
Upi ukweli kuhusu sauti na sakati hilo?
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za...
"One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame".
Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26 years after the rapper's death.
The hip-hop star will be honoured with a ceremony on the prestigious...
Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
Kidada Jones na Tupac walikua na mahusiano ya kimapenzi yaliyodumu kwa muda mfupi tu mwaka 1996. Walikutana mwaka 1995, kwenye Club moja huko mjini Los Angeles na wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi muda muda mfupi baadae.
Kidada alikuwa mbunifu wa mavazi na muigizaji pia Tupac alikuwa rapper na...
Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track).
Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't like the shit to me like it was buying. You buying more problems girl. Like you buying problems...
20 plus years later watu bado wanawaenzi hawa rappers waliokuwa legendary.
Biggie the king of flow and style. Pac the lyricist, revolutionarist and expressive.
Baada ya pac kupigwa risasi na ku-survive 1994 akiwa ameenda kuwasalimia badboy (biggie, diddy, lil cease) pale Quad studio alikuwa...
Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na JAY-Z.
Jordan akiwa na mwigizaji Jonathan Majors amesema anadhani Rapa na Mwimbaji Drake anapaswa...
Rappers that have been influenced by Tupac:
Kendrick Lamar
Dax
Eminem
Kanye West
Siddhu Musewala
Drake
Nas
J. Cole
50 Cent
DMX
Nipsey Hussle
Freddie
Gibbs
Polo G
Meek Mill
The Game and more... Your favourite rappers’ favourite rapper.
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
Wengi wenu hamjui yeye ni nani lakini yeye ni muhimu. Latasha Harlins. Mnamo 1991, akiwa na umri wa miaka 15, alienda kwenye soko lake la chakula linalomilikiwa na Wakorea na hakufanikiwa kutoka kurudi kwao akiwa mzima. Mke wa mwenye duka, Soon Ja Du, alidhani Latasha kaja kuiba chupa ya juisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.