tupac

  1. The Sheriff

    Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27

    Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k Ukiisikiliza vizuri ngoma...
  2. Sky Eclat

    RIP Tupac Shakur

  3. Sky Eclat

    Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

  4. Sky Eclat

    TBC Madonna na Tupac Shakur

  5. LIKUD

    Je, wajua kuwa Rapa Lil Kim alirogwa na Tupac?

    Segmund Freud kwenye kitabu chake," Introductory Lectures on Psychoanalysis " anasema "Words and magic were in the beginning one and the same thing and even today words retain much of their magical powers ". Ni Kweli kabisa maneno Yana nguvu kubwa Sana. Yanaweza kuua Na kuhuisha. Haya Sasa...
  6. I_manyota

    Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

    Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀 Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
Back
Top Bottom