Salaam Wakuu,
Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt).
Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata.
Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
Kumekuwa na kelele nyingi kwenye mahusiano; wengine wanasema bila hela hawataki mahusiano, na wengine wanasema bila kuridhishwa hawataki mahusiano. Sasa leo; naomba mtupe majibu, kwa sababu kuna wanaume wengine walijikita kwenye kutafuta hela na wakazipata, lakini mwisho wa siku mahusiano yao...
Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni.
Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
Habari za mda huu
Naenda moja kwa moja kwenye mada. Serikali tumekuwa tukikatiwa nyama kwenye magogo toka enzi za uhuru. Bucha nyingi hasa mikoani ni magogo.
Binafsi sijaona madhara au kusikia madhara ila ukweli ni kwamba kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi dunian kote na pia...
Miti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine yasipukutike?
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno
Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Ndugu Maaskofu wetu.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa.
Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.