tusaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi tusaidieni abiria, Mabasi mengi ya Mikoani hayana Mikanda

    Salaam Wakuu, Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt). Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
  2. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  3. Wadada tusaidieni, mnataka nini?

    Kumekuwa na kelele nyingi kwenye mahusiano; wengine wanasema bila hela hawataki mahusiano, na wengine wanasema bila kuridhishwa hawataki mahusiano. Sasa leo; naomba mtupe majibu, kwa sababu kuna wanaume wengine walijikita kwenye kutafuta hela na wakazipata, lakini mwisho wa siku mahusiano yao...
  4. Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

    Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni. Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
  5. Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  6. S

    Hii ipo maeneo gani ya Kenya tusaidieni

    Ni Magnetic force au Gravitational force imepungua or another unknown force.
  7. Serikali tusaidieni kuondoa Magogo mabuchani

    Habari za mda huu Naenda moja kwa moja kwenye mada. Serikali tumekuwa tukikatiwa nyama kwenye magogo toka enzi za uhuru. Bucha nyingi hasa mikoani ni magogo. Binafsi sijaona madhara au kusikia madhara ila ukweli ni kwamba kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi dunian kote na pia...
  8. R

    Miembe imetoa maua mengi lakini yanapukutika yote, nini shida?

    Miti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine yasipukutike?
  9. Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  10. E

    Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  11. M

    Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…